Machimbo ya madini DRC: Toka jiwe hadi dhahabu halisi | Mada zote | DW | 10.09.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Machimbo ya madini DRC: Toka jiwe hadi dhahabu halisi

Watu wa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, hutegemea dhahabu kama chanzo kikuu cha kipato. Wachimbaji huhatarisha maisha yao kuchimba mawe ya dhahabu, yanayopitia mikono mingi kabla ya kuwa dhahabu halisi.