Machafuko Burundi | Mada zote | DW | 13.05.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Machafuko Burundi

Tangu Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza atangaze nia yake ya kuwania tena urais, taifa hilo limekabiliwa na vurugu kati ya waandamanaji na polisi. Mpiga picha wa AFP Phil Moore ameshuhudia vurugu hizo.