Maboresho ya daftari la wapiga yaanza Dar es salaam na Pwani | Media Center | DW | 14.02.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Maboresho ya daftari la wapiga yaanza Dar es salaam na Pwani

Kuelekea uchaguzi mkuu nchini Tanzania leo mikoa ya Dar es Salaam na Pwani imeanza zoezi la kuhuisha taarifa za mpiga kura, ambalo linatarajiwa kudumu kwa siku saba.

Tazama vidio 03:01