Mabadiliko ya Tabianchi yatishia ustawi wa Kisiwa cha Changuu | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 06.08.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Mabadiliko ya Tabianchi yatishia ustawi wa Kisiwa cha Changuu

Kuongezeka kwa kiwango cha maji ya bahari ambayo ni sehemu ya athari za mabadiliko ya tabianchi kunatishia uwepo wa kisiwa maarufu cha bahari ya Hindi cha Changuu kilichopo Zanzibar. Ahmed Juma amekitembelea kisiwa hicho na kuzungumza na wanaotegemea ustawi wake

Tazama vidio 02:42