Maandamano dhidi ya Rais Kabila yasababisha vifo vya watu 47 | Media Center | DW | 20.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Maandamano dhidi ya Rais Kabila yasababisha vifo vya watu 47

Watu 47 wameuawa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia maandamano ambayo yamedumu kwa mwaka mmoja dhidi ya Rais Joseph Kabila. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa. Ripoti hiyo inawashutumu maafisa wa usalama wa Congo kwa kutumia nguvu zaidi dhidi ya waandamanaji

Tazama vidio 01:21
Sasa moja kwa moja
dakika (0)