1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maana ya kufikisha miaka 18 Ujerumani

Elizabeth Shoo20 Juni 2018

Kila nchi duniani imeweka umri ambao mtu akiufikisha anachukuliwa kuwa mtu mzima. Kwa Ujerumani ni miaka 18. Je, kuvuka ujana kuingia utu uzima kunamaanisha nini, hasa kisheria? Ni mambo yapi ambayo mtu aliyetimiza miaka 18 anaruhusiwa kufanya? Ni wajibu gani anaotakiwa kuubeba? Ni mada ya Sura ya Ujerumani.

https://p.dw.com/p/2ztzh