Lissu afika mahakamani | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 15.08.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Lissu afika mahakamani

Aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ameiomba mahakama kuu ya Tanzania kutoa amri ya kusitisha zoezi la kuapishwa kwa mbunge mteule wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ambae alichaguliwa takriban mwezi mmoja uliopita

Tazama vidio 02:23