1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Lionel Messi

Lionel Andrés "Leo" Messi Cuccittini, ni mchezaji nyota wa kandanda kutoka Argentina, anaecheza kama mshambuliaji katika klabu ya FC Barcelona na timu ya taifa ya Argentina. Ameshinda tuzo ya Ballon d'Or mara tano.

Ukusara huu ni mkusanyiko wa mada za DW zinazomhusu Lionel Messi

Onesha makala zaidi