LHRC yatiwa shaka na kauli ya Kikwete | Tanzania Yaamua 2015 | DW | 15.10.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Tanzania Yaamua 2015

LHRC yatiwa shaka na kauli ya Kikwete

Siku moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kuonya kutumia nguvu dhidi ya watu watakaokaa umbali wa mita 200 baada ya kupiga kura, wakosoaji wanasema kiongozi huyo anayemaliza muda wake anachupa mipaka.

Helen Kijo-Bisimba wa LHRC.

Helen Kijo-Bisimba wa LHRC.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binaadamu (LHRC), Helen Kidjo Bisimba, anasema madai ya wananchi kukaa vituoni kulinda kura zao yanatokana na kupoteza kwao imani na uadilifu wa taasisi zinazotakiwa kusimamia haki na sheria za uchaguzi.

Mwandishi: Grace Patricia Kabogo
Mhariri: Yusuf Saumu

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com