LHRC: Ubakaji wa watoto waongezeka Tanzania | Masuala ya Jamii | DW | 21.03.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

LHRC: Ubakaji wa watoto waongezeka Tanzania

Ripoti ya kituo cha sheria na haki za binadamu nchini Tanzania imetaja madhila wanayokumbana nayo watoto nchini humu na kubainisha vitendo vya ubakaji na ulawiti ni miongoni mwa mambo ambayo yamekuwa yakiongezeka katika miezi ya hivi karibuni. George Njogopa anatupia macho hali hiyo katika ripoti yake ifuatayo.

Sikiliza sauti 03:46