Lewandowski aendelea kuwika Bundesliga | Media Center | DW | 22.03.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Lewandowski aendelea kuwika Bundesliga

Bayern Munich yaizaba Stuttgart na kuendeleza ubabe ndani ya Bundesliga wakati Dortmund ikikabwa koo na FC Koln wakati Manchester United ikibanduliwa nje ya Kombe la FA na Leicester City. Timu ya taifa ya Rwanda kuingia uwanjani wiki hii kuvaana na Msumbiji katika mechi ya kuwania tiketi ya fainali za kombe la mataifa bingwa Afrika. Babu Abdalla ana mkusanyiko wa habari za spoti.

Sikiliza sauti 09:51