1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Leverkusen wausogelea ubingwa wa Bundesliga

Josephat Charo
18 Machi 2024

Bayer Leverkusen waendelea kupepea kileleni mwa Bundesliga, Mabingwa watetezi Bayern Munich wakabiliwa na shinikizo baada ya Harry Kane kuumia. Kocha wa muda mrefu wa klabu ya Freiburg Christian Streich kuondoka mwishoni mwa msimu. Katika La Liga kocha wa Atletico Madrid Diego Simeone asema watajiimarisha baada ya kipigo cha Barcelona.

https://p.dw.com/p/4ds1M