LEARNING BY EAR - NOA BONGO JENGA MAISHA YAKO | Masuala ya Jamii | DW | 05.05.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

LEARNING BY EAR - NOA BONGO JENGA MAISHA YAKO

Shirika la Deutsche welle linaanzisha msimu maalum wa michezo ya kuigiza vilevile makala mahusisi kwa vijana kujadilia mada mbalimbali.

Vijana mjini Kigali,Ruanda wakitayarisha makala mbali mbali za Noa Bongo-Jenga maisha yako

Vijana mjini Kigali,Ruanda wakitayarisha makala mbali mbali za "Noa Bongo-Jenga maisha yako"

Dhamira yake ni kuwahamasisha vijana kujiunga katika shughuli za uhifadhi wa mazingira,kujilinda dhidi ya kuambukizwa ugonjwa wa uhamiaji,kupata ufahamu na uelewa zaidi wa masuala ya uhamiaji vilevile urembo... na nafasi ya mtoto wa kike katika jamii.Makala hizo maalum maarufu Noa Bongo!Jenga maisha Yako zinaanza kurushwa mwishoni mwa wiki hii siku ya Jumamosi wakati wa mchana...

Josephat Charo alisimamia shughuli ya kurekodi makala hizo mjini Kigali nchini Rwanda na Thelma Mwadzaya alizungumza naye.


Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com