′Laana ya rasilimali za Congo′ | Mada zote | DW | 01.05.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

'Laana ya rasilimali za Congo'

Madini ya Kobalti na Koltani yanapatikana kwa wingi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Lakini, kutokana na msukosuko wa kikanda, madini hayo huwavutia wapiganaji, unyanyasaji na machafuko