Kwanini inadhaniwa kuwa Kiingereza ni lugha ya kisomi? | Media Center | DW | 12.07.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Kwanini inadhaniwa kuwa Kiingereza ni lugha ya kisomi?

Katika sehemu kubwa ya Afrika Mashariki, lugha ya kiingereza inazingatiwa kuwa ya wasomi na yule aizungumzaye hupewa hadhi na heshima fulani. Makala ya Vijana Mubashara inasaka maoni na fikra zako, iwapo ni kweli kufahamu Kiingereza ni jambo la fahari na busara?

Sikiliza sauti 09:05