1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kwaheri Marehemu John Pombe Magufuli

Babu Abdalla24 Machi 2021

Shughuli za kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli aliyeaga dunia wiki iliyopita inakaribia mwisho, kabla ya mwili wa kiongozi huyo kuzikwa. Mwili wake tayari umewasili nyumbani kwake Chato mkoani Geita. Zaidi sikiliza mahojiano haya kati ya Babu Abdalla na mwenzetu Anuary Mkama.

https://p.dw.com/p/3r444