Kwa nini baadhi ya mashirika ya ndege yataka kuwapima abiria uzito? | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 05.02.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Kwa nini baadhi ya mashirika ya ndege yataka kuwapima abiria uzito?

Kwenye kipindi cha Karibuni Saumu Mwasimba amekuandalia mengi ikiwa ni pamoja na baadhi ya mashirika ya ndege kuonesha nia ya kutaka kuwapima watu uzito. Vilevile utasikia kisa kilichotokea Afrika Kusini ambapo familia moja ilipigwa na butwaa walipoona mamba katika bwawa lao la kuogelea asubuhi. Lakini pia kuna mgeni wa wiki na bila shaka burudani ya muziki. Sikiliza.

Sikiliza sauti 30:23