Kuzuia maji kupungua mwilini wakati wa mwezi wa Ramadhan | Media Center | DW | 06.05.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Kuzuia maji kupungua mwilini wakati wa mwezi wa Ramadhan

Ni muhimu sana kudumisha viwango vya maji mwilini maana ni moja ya mambo yanayokufanya uwe na afya njema siku zote na hasa katika mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa Waumini wa Kiislamun wanaofunga. Kuzingatia lishe bora pia ni kitu muhimu, Je ni vyakula gani vinavyopaswa kuliwa wakati huu? Amina Abubakar na mengi zaidi kwenye kipindi cha Afya Yako.

Sikiliza sauti 09:45