1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kutoka takataka kuwa sanaa

10 Mei 2022

Patrick Kitete, ni msanii eneo la Ndaku ya la vie est belle. Huzigeuza takataka kuwa sanaa. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo hufanya maonyesho ya sanaa ya kusisimua; Lakini aina fulani za sanaa ni ngumu na huzungukwa na unyanyapaa.

https://p.dw.com/p/4B6Ss