Kutana na uvumbuzi mpya Kongo | Masuala ya Jamii | DW | 10.07.2014
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Kutana na uvumbuzi mpya Kongo

Kwa kurahisisha usafiri katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa, mwanasayansi Therese Kirongozi amevumbua roboti za kuongozea magari barabarani kupitia kampuni yake ya Women Technology.

Mhandisi Therese Kirongozi akisubiri wataalii wanaotembelea mahala anapotengeneza maroboti ya kurahisisha usafiri. Mwanamke wa kwanza kutengeneza roboti nchini DRC. (DW/Saleh Mwanamilongo)

Mhandisi Therese Kirongozi akisubiri wataalii wanaotembelea mahala anapotengeneza maroboti ya kurahisisha usafiri. Mwanamke wa kwanza kutengeneza roboti nchini DRC. (DW/Saleh Mwanamilongo)

Katika makala hii, Saleh Mwanamilongo anaangalia mchango wa teknolojia hii iliyobuniwa na mwanasayansi huyo wa Kikongo ndani ya ardhi ya Kongo inavyowafaidisha raia wenzake.

Kusikiliza makala nzima, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mhariri: Mohammed Khelef

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com