1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kutana na Nassor Barsheba, mshairi wa Unguja

Mohammed Khelef14 Januari 2016

Uandishi wa mashairi ni mkongwe kwenye utamaduni wa Waswahili na washairi wamekuwa na mchango mkubwa sana sio katika kuuhifadhi utadamuni wa Kiswahili, bali pia kuathiri fikra za kisiasa na kijamii kwenye eneo zima la upwa wa Afrika ya Mashariki. Mohammed Khelef amekutana na mwandishi wa Diwani ya Barsheba, Nassor Hilal al-Kharusi wa Mjini Unguja.

https://p.dw.com/p/1Hcxr