1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kupoteza mtoto wakati wa kujifungua, visa vya Marsabit

Sylvia Mwehozi
25 Juni 2019

Ni tamanio la kila mama mjamzito kujifungua salama na kumbeba mwanawe mikononi mwake baada ya safari ya miezi tisa ya ujauzito. Lakini,baadhi ya akina mama wajawazito hupoteza Maisha yao kabla ya kujifungua au hata baada ya kujifungua kutokana na changamoto tofauti kwenye ujauzito wao. Tunamulika jimboni Marsabit nchini Kenya kutokana.

https://p.dw.com/p/3L2y5