1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kuongezeka mimba za utotoni Mombasa

FATHIYA BAYUSUF21 Agosti 2020

Ungana na Fathiya Omar katika makala ya Vijana Tugutuke, ambako vijana mbalimbali wa Mombasa wanazungumzia kuhusu kuongezeka kwa mimba za utotoni mjini humo. Wakati huu wa janga la virusi vya corona watoto wengi wamepewa mimba, huku kampeni mbalimbali za kuzuia mimba za utotoni nchini Kenya zikiendelea.

https://p.dw.com/p/3hI62