1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kula vyakula vya asili kumepitwa na wakati?

12 Machi 2018

Asilimia 77 ya watu kusini mwa Jangwa la Sahara barani Afrika ni vijana chini ya miaka 35. Vijana Mubashara - 77 Asilimia ni jukwaa lao, kupitia DW. Katika Vijana Mubashara wiki hii tunakuuliza, kama kijana je unahisi kula vyakula vya asili kumepitwa na wakati?

https://p.dw.com/p/2u94k