Kugeuza kijivu hadi kijani: Kilimo cha mijini ulimwenguni | Mada zote | DW | 12.09.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Kugeuza kijivu hadi kijani: Kilimo cha mijini ulimwenguni

Kadri ambavyo miji imekuwepo, ndivyo ambavyo kilimo cha mjini kimekuwepo na kinaendelea kunawiri. Kutoka Berlin hadi Bangkok, wakaazi wanapanda vyakula kwenye paa na kubadili sura ya miji kutoka kijivu hadi kijani.