Kufungwa kwa mipaka kati ya Rwanda na DRC | Matukio ya Afrika | DW | 23.10.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Kufungwa kwa mipaka kati ya Rwanda na DRC

Kutokana na ongezeko la uasi katika mji wa Goma, serikali kuu ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, imeamua kufunga mipaka baina yake na Rwanda ifikapo saa kumi na mbili jioni na kufungua saa kumi na mbili asubuhi.

Ramani inayoonyesha mipaka kati ya Rwanda na DRC

Ramani inayoonyesha mipaka kati ya Rwanda na DRC

Mipaka hiyo ni ya miji ya Goma Kivu ya kaskazini na Bukavu mkoani Kivu ya kusini.Hata hivyo hatua hiyo inadhaniwa na wengi kuwa, huenda inafuatia tofauti zilizoko baina ya DRC na Rwanda kuhusu vita katika eneo la Mashariki mwa Kongo. John Kanyunyu na ripoti kamili kutoka Goma.

(Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi John Kanyunyu

Mhariri Yusuf Saumu

Sauti na Vidio Kuhusu Mada