1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiGhana

Kufafanua upya taswira ya 'Dreadlocks' nchini Ghana

28 Machi 2023

Mjini Accra, mtaalamu wa dreadlock Michael Afutu amekuwa akipigana dhidi ya mtizamo mbaya wa dreadlocks kwa miaka 28 iliyopita. Alibadilisha simulizi na sasa dreadlocks za asili ni sehemu ya mitindo ya nywele nchini Ghana

https://p.dw.com/p/4POia