Kote Afrika, DW iko nawe | Redio | DW | 26.04.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Redio

Kote Afrika, DW iko nawe

Sikiliza Idhaa ya Kiswahili ya DW upate habari na ujielimishe ukiwa Mashariki au Magharibi ya Afrika kupitia redio tunazoshirikiana nazo kukurushia matangazo ya moja kwa moja kutokea Ujerumani.

Pokea matangazo yetu kupitia redio washirika kote Afrika Mashariki na Kati.

Pokea matangazo yetu kupitia redio washirika kote Afrika Mashariki na Kati.

Idhaa ya Kiswahili ya DW inasikika Tanzania, tunapatikana mjini Arusha kupitia Triple A FM; Dar es Salaam: Radio Tumaini, Capital Radio, Radio Mlimani, Wapo Radio na Upendo Radio; Dodoma: ABM 91.2; Nyemo FM na Radio Mwangaza; Ifakara: Pambazuko FM; Iringa: Country FM; Karagwe: Fadeco Community Radio na Radio Karagwe; Mbulu: Radio Habari Njema; Morogoro: Radio Abood na Radio Ukweli; Moshi: Sauti ya Injili na Radio Kili, Mpanda: Mpanda Radio FM; Mtwara: Pride FM na Safari Radio Limited, Mwanza: Radio Free Africa, Radio Saut FM 96.1 na Passion FM; Ngara: Radio Kwizera; Shinyanga: Radio Faraja FM; Singida: Standard Radio FM, Tanga: Mwambao FM; Tabora: CG FM na Zanzibar tunapatikana kupitia Zenji FM 96.8, Hits FM, ChuChu FM; Mtegani na Tumbatu Community Radio.

Nchini Kenya, tunapatikana jijini Nairobi kupitia Radio Maisha, Radio Waumini na Transworld Radio; Lamu kupitia Sifa FM; Kwale kupitia Kaya FM na Radio Mambo mjini Webuye.

Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo(DRC) tunapatikana mjini Beni: Ngoma FM, Radio Liberté na Radio Télévision Semuliki; Bukavu: Radio Star, Bunia: RTK na Radio Merveille; Butembo kupitia RTGB Butembo; Goma: Radio La Colombe na Radio Oasis, Isiro: Radio Boboto; Kasindi: RTGB Kasindi; Kindu: Salam FM; Kisangani: OPED FM; Uvira: Radio le Messager du Peuple na Radio Ondese

Nchini Uganda tunapatikana kupitia Kampala: Pearl FM; Kabale: Freedom Radio; Mbale: Step FM; Elgon FM; Signal FM na IUIU FM; Soroti: Delta Radio Limited; Tororo: Veros Radio na Gulu: King FM na Speak FM na katika Nebbi: Rainbow Radio

Mjini Kigali nchini Rwanda, Idhaa ya Kiswahili ya DW hupokelewa moja kwa moja kupitia Isangostar na Radio Flash FM. Nchini Burundi: Radio Isangianiro na Radio Publique Africaine; Visiwani vya Komoro, tunapatikana kupitia Radio Star ya Mutsamudu na huko Msumbiji, matangazo yetu yanasikikana kupitia Radio Sem Fronteiras ya Pemba.