Kongamano la viongozi wa kitaifa wa Kiislamu nchini Kenya | Matukio ya Afrika | DW | 11.04.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Kongamano la viongozi wa kitaifa wa Kiislamu nchini Kenya

Jukwaa la Viongozi wa Kitaifa wa Kiislam Kenya, wako katika mchakato wa kuandaa kongamano litakalowashirikisha waumini wa dini ya Kiislam na kujadili Kenya wanayoitaka, wakati taifa hilo likijiandaa na uchaguzi mkuu.

Wananchi wa Kenya wakisubiri kupiga kura katika uchaguzi uliopita

Wananchi wa Kenya wakisubiri kupiga kura katika uchaguzi uliopita

Mwenyekiti wa Baraza la Maimamu nchini Kenya, Mohammed Dor ameyasema hayo, kama ilivyoafikiwa katika mkutano wa jukwaa hilo mwishoni mwa juma lililopita.

(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Pendo Paul

Mhariri: Mohamed Abdulrahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada