1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kondomu feki zaondolewa sokoni Tanzania

30 Julai 2020

Serikali ya Tanzania imeziondoa sokoni kondomu zaidi ya 17,000 zisizokidhi viwango vya ubora, ambazo zinatajwa kuingia nchini humo kinyume na sheria na taratibu huku zikipitia katika mpaka wa Zambia.

https://p.dw.com/p/3gA8D
Kondom
Picha: Colourbox

Sikiliza ripoti ya Hawa Bihoga