Kliniki ya kuhamahama Lesotho | Media Center | DW | 03.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Kliniki ya kuhamahama Lesotho

Katika vijiji vya Lesotho, ni nadra sana kwa wakaazi kupata huduma za afya. Daktari mmoja na timu yake wanaotumia kliniki ya kuhamahama husafiri umbali mrefu mara kwa mara kuwafikia wakaazi kuwapa huduma za afya na pia kuwaelimisha kuhusu maradhi kama ya virusi vya Ukimwi.

Tazama vidio 01:11