1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Klabu ya vijana ya Njoo tuzungumze tuokoe jamii

Sylvia Mwehozi
25 Juni 2019

Veronica Natalis leo yupo na wanafunzi kutoka shule ya Mukrat kaskazini mwa Tanzania mkoani Arusha. Wanaunda klabu ya FEMa inayoitwa njoo tuzungumze na tuokoe jamii. Je wana yapi ya kusema tafadhali ungana naye katika mjadala ufuatao.

https://p.dw.com/p/3L2z4