1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kizazi cha "Windrush"

2 Mei 2018

Katika mwangaza wa Ulaya Daniel Gakuba anaangazia kashfa inayoitikisa serikali ya Uingereza kuhusiana na vitendo vya uonevu walivyofanyiwa watu waliohamia nchini humo miaka ipatayo sitini iliyopita wakitokea nchi za Carribean zilizokuwa makoloni ya Uingereza. Sikiliza makala.

https://p.dw.com/p/2x3L9