1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kivu Kusini yashuhudia ongezeko la visa vya corona

Mitima (HON)28 Mei 2020

Mkoa wa kivu kusini unashuhudia ongezeko la visa vya ugonjwa wa Covid-19 katika eneo hilo. Gavana wa mkoa huo ametangaza kwamba watu 3 wamefariki kutokana na ugonjwa huo huku watu wapatao 100 wanashukiwa kuambukizwa ugonjwa huo mjini Bukavu na tangu leo mji huo utafungwa tena kwa wiki mbili. Kutoka Bukavu, Mitima Delachance alituarifu.

https://p.dw.com/p/3ctdE