Kiulizo Time | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 20.02.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Kiulizo Time

Kwa mara nyingine tena Masanja Mkandamazaji anachemsha akili za wakaazi wa Afrika Mashariki kwa maswali ya Chemsha Bongo ambayo usipokuwa makini utaingiwa kiwewe. Leo ni magari na ´´Tracksuit´´. Vunja mbavu.

Tazama vidio 01:03