Kituo cha Mayatima wa Sili (seals) Norddeich | Masuala ya Jamii | DW | 17.11.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Kituo cha Mayatima wa Sili (seals) Norddeich

Utalii wa kimazingira ni njia mojawapo ya kuwahamasisha watu kuyalinda mazingira hayo wakielewa umuhimu wake. Ni katika mukhtadha huo, kwamba utalii wa aina hiyo umeshamiri katika maeneo ya Ujerumani.

Seehundstation in Norddeich

Watalii wakiwatazama sili mayatima kupitia ukuta wa kioo

Kwa wajerumani, utalii katika miradi ya mazingira imekuwa kama tabia kwa wengi, na tabia hiyo husaidia kuweka uelewa na hamasa ya kila mmoja kuyalinda mazingira na viumbe asilia wanaoishi katika mazingira hayo.

Sehemu moja yenye vivutio vingi vya kimazingira ni mji wa Norddeich, ambao idhaa yako ya Kiswahili iliutembelea hivi karibuni. Tafadhali sikiliza makala hii ya Sura ya Ujerumani iliyoandaliwa kutokana na ziara hiyo.

Seehundstation in Norddeich

Nje ya kituo hicho maalum cha kuwatunza sili mayatima

Inahusu matunzo ya ufukwe wa tope katika Bahari ya Kaskazini, na Kituo cha kuwatunza mayatima wa wanyama wa majini waitwao sili, au seals kwa lugha ya kiingereza. Makala hiyo imeandaliwa nami Daniel Gakuba.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com