1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kiswahili Kina Wenyewe: Tafauti za kisemantiki kwenye kamusi

Mohammed Khelef
27 Novemba 2019

Wataalamu wanasema kuwa kuna tafauti za maana ya maneno kwenye makamusi kati ya yale yachapishwayo pwani ya Afrika Mashariki na yale yachapishwayo pande za bara. Dk. Mary Zacharia Charwi amefanya utafiti juu ya hilo na hapa anazungumza na Mohammed Khelef.

https://p.dw.com/p/3TnxG