Mwandishi bingwa wa fasihi ya Kiswahili, Profesa Said Ahmed Mohamed, anatambulika kwa kuibuwa kwake mitindo mbalimbali ya kifasihi kwenye kazi zake. Mnojawapo ni huu wa kicheko ambao unafafanuliwa hapa na Mhadhiri Msaidizi wa Fasihi ya Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Neema Benson Sway, kupitia tamthiliya ya Amezidi.