1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kiswahili Kina Wenyewe: Jazanda kwenye Nyota ya Rehema

Mohammed Khelef
27 Novemba 2019

Je, unajuwa maana ya jazanda? Unajuwa matumizi yake kwenye fasihi ya Kiswahili na hata lugha ya kawaida mitaani, vibarazani na majumbani mwetu? Profesa Kithaka wa Mberia wa Chuo Kikuu cha Nairobi, Kenya, anaangalia namna mwandishi Mohammed Suleiman alivyofanikiwa kutumia jazanda kupitia riwaya yake ya Nyota ya Rehema.

https://p.dw.com/p/3TpL1