1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kipandauso au kwa lugha ya kitabibu Migraine, inatibiwaje?

Rashid Chilumba20 Julai 2020

Makala ya Afya yako hii leo, inatoa ufafanuzi juu ya ugonjwa wa Kipandauso au kwa lugha ya kitabibu Migraine. Bila shaka umewahi kusikia kuhusu kipandauso; maumivu makali ya kichwa yanayotanguliwa mara nyingi na hali ya kutoona vizuri au vimulimuli, kisha kichefuchefu, kizunguzungu na hata hisia za kuchanganyikiwa. Ungana naye Rashid Chilumba kwa mengi zaidi.

https://p.dw.com/p/3faUS