Kinagaubaga | Matukio ya Kisiasa | DW | 05.12.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Kinagaubaga

Sikiliza kipindi hiki cha Kinagaubaga ambapo Mohamed Abdulrahman anazungumza na Mjumbe maalum wa Umoja wa mataifa kwa Somalia Balozi Augustine Mahiga kutoka Tanzania kuhusu hali ya kisiasa ya Somalia.

Residents walk past the campaign billboard of Somalia's presidential candidate Hassan Sheikh Mohamud in Somalia's capital Mogadishu, September 9, 2012. Somalia's lawmakers voted overwhelmingly on Monday for Mohamud as the country's next president, with the streets of the capital erupting into celebratory gunfire, Reuters witnesses said. Two of the four candidates who made it to the second round of voting opted out, leaving the incumbent President Sheikh Sharif Ahmed and Mohamud.Picture taken September 9, 2012. REUTERS/Feisal Omar (SOMALIA - Tags: POLITICS ELECTIONS)

Somalia - Hassan Sheikh Mohamud

Bunge la Somalia liiliidhinisha Baraza la mawaziri la Rais Hassan Sheikh Mohamoud aliyechaguliwa mwezi Septemba kuiliongoza taifa hilo la pembe ya Afrika tokea kuangushwa utawala wa Siad Barre 1991 na kuandamwa na vita. Ikilinganishwa na nchi nyingi za kiafrika Baraza hilo la mawaziri ni dogo, likiwa na mawaziri 10. Sikiliza mahojiano haya kwa kubonyeza alama ya kusikiliza masikioni hapo chini.

Mahojiano: Mohammed Abdul-Rahman
Mhariri:Saumu Mwasimba

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com