Kinagaubaga | Masuala ya Jamii | DW | 08.11.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Kinagaubaga

Sikiliza mahojiano ya Mohammed Abdulrahman na Makamu wa kwanza wa rais wa serikali yamapinduzi ya Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi ambae pia ni Katibu Mkuu wa CUF kuhusu hali ya kisisa visiwani Zanzibar

CUF’s Sansibar Präsidentschaftskandidat, Seif Sharif Hamad, beim Gespräch mit Journalisten, nachdem der das Formular für seine Kandidatur bei der Sansibar Wahlkommission (ZEC) abholte (5.Juni 2010) Stichwort: Sansibars Präsidentschaftskandidat, Zanzibar Presidential Candidate, Seif Sharif Hamad

Maalim Seif Sharif Hamadi

Novemba 5 visiwa vya Zanzibar viliadhimisha mwaka wa pili tangu kuundwa serikali ya Umoja wa kitaifa kati ya chama cha mapinduzi CCM na kile cha wananchi CUF, Hatua hiyo ilitokana na matakwa ya wananchi. Kuundwa kwa serikali hiyo ya mseto baada ya uchaguzi mkuu uliopita 2010, kulitokana uamuzi wa wakaazi wa visiwa hivyo katika kura ya maoni ilioitishwa kama sehemu ya maridhiano yaliofikiwa baina ya aliyekuwa Rais wa Zanzibar wakati huo Amani Karume na Katibu mkuu wa chama cha CUF Maalim Seif Sharif Hamadi.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com