1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga: Mgogoro wa gesi ya Mtwara

Mohammed, Khelef Mohammed3 Januari 2013

Mohammed Khelef anazungumza na Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania, Profesa Sospeter Muhongo, juu ya mgogoro kati ya serikali na wananchi wa mikoa ya kusini kuhusiana na maslahi kutokana na rasilimali ya gesi asilia.

https://p.dw.com/p/17CzL

Wananchi wa mikoa ya kusini wameandamana wakipinga ujenzi wa bomba la gesi kuelekea mji mkuu wa kibiashara wa Tanzania, Dar es Salaam, kabla ya ahadi ya mrahaba wao haijatekelezwa.