1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga: Juhudi za kuwapokonya silaha wapiganaji DRC

Saleh Mwanamilongo
18 Januari 2022

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inaendelea kukabiliwa na makundi ya wapiganaji hasa kwenye majimbo ya Kivu ya Kaskazini, Kivu ya Kusini, Ituri, Maniema na Tanganyika. Kiongozi mpya wa mpango wa kitaifa wa kuwapokonya silaha na kuwarejesha katika maisha ya kiraia wapiganaji wa zamani nchini Congo, Tommy Thambwe Ushindi amezungumza na Saleh Mwanamilongo katika Kinagaubaga.

https://p.dw.com/p/45gRN