Kinagaubaga : Je, walimu wako salama nchini Kenya? | Media Center | DW | 28.01.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Kinagaubaga : Je, walimu wako salama nchini Kenya?

Mahojiano ya Kinagaubaga leo yanazungumza na Katibu Mkuu wa Muungano wa walimu nchini Kenya Wilson Sossion kuhusu usalama wa walimu wawapo kazini katika wakati ambapo mfululizo wa mashambulizi ya kigaidi yamewalenga mara kadhaa walimu.

Sikiliza sauti 09:45