1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kina mama wapinga unyanyasaji dhidi ya wanaonyonyesha hadharani

15 Mei 2018

Kina mama wa Kenya ,jijini Nairobi waandamana kupinga udhalilishaji wa kina mama wanaonyonyesha,Ni baada ya kuzuka kisa mwanzoni mwa mwezi huu cha kudaiwa kunyanyaswa kwa mama aliyekuwa akimnyonyesha mwanawe katika mgahawa mmoja bila ya kujifunika matiti.

https://p.dw.com/p/2xlNw