Kilimo cha ndizi Babati | Media Center | DW | 07.08.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Kilimo cha ndizi Babati

Zao la ndizi ni miongoni mwa mazao ya biashara yanayolimwa sana katika wilaya ya Babati iliyopo mkoani Manyara kaskazini mwa Tanzania. Inaelezwa kwamba soko la ndizi ni kubwa mno kiasi kwamba halijaweza kukidhi hata mahitaji ya ndani ya wateja. Katika kijiji hiki cha Gidabaghar kikundi cha Mshikamano chenye wanachama 25 kimepata mafanikio makubwa tangu kilipoanza kulima zao hili mwaka 2014. 

Tazama vidio 02:54