1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kijana epuka haya katika kuukaribisha mwaka mpya

28 Desemba 2011

Kwa sababu ya khulka yao ya kuvamia mambo na kutaka kufanya kila kitu kwa pupa, mara kadhaa vijana hujikuta katika matatizo unapomalizika mwaka na kuingia mwaka mwengine, maana furaha zao hukikiuka mipaka.

https://p.dw.com/p/13agW
Bia
BiaPicha: Kross

Caro Robi anawaalika vijana kuzungumzia masuala muhimu ya kujiepusha nayo katika msimu huu wa kuuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012.

Mtayarishaji: Caro Robi
Mhariri: Othman Miraji