1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Khadija Jillo - Mwanamke aliyerejea shule akiwa na miaka 54

Shisia Wasilwa
18 Agosti 2021

Makala ya Wanawake na Maendeleo, inammulika Khadija Jillo mwanamke aliyerudi shuleni alipokuwa na umri wa miaka 54. Sikiliza makala hiyo ya Shisia Wasilwa.

https://p.dw.com/p/3z7AK