1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya: Vikosi vya usalama vyawekwa katika hali ya tahadhari

3 Novemba 2014

Vyombo vya usalama nchini Kenya vimewekwa katika hali ya tahadhari kuzuia maafa zaidi kufuatia kuuawa kwa maafisa 21 wa polisi wa utawala katika Kaunti ya Baringo na kuvamiwa kwa kambi ya jeshi huko pwani ya Kenya.

https://p.dw.com/p/1Dfzz
Picha: picture-alliance/dpa

Rais Uhuru Kenyatta ametoa agizo kwa viongozi wa eneo la Baringo kuhakikisha silaha zilizotwaliwa kutoka kwa maafisa wa polisi na wavamizi zirejeshwe katika muda wa saa 24 huku upinzani ukiishutumu serikali kwa kushindwa kulinda Maisha ya Wakenya. Mwandishi wetu Alfred Kiti na taarifa zaidi kutoka Nairobi. Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Alfred Kiti

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi